img

LIVE: YANGA vs NAMUNGO, UCHAMBUZI KABLA YA MECHI – VPL 22/11/2020

November 22, 2020

Leo ni mechi mbili za ligi kuu tanzania Bara (VPL), lakini kubwa ni Yanga vs Namungo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ally Mayay na Dominick Salamba wanakuletea uchambuzi kuelekea mchezo huo ambao utakuwa LIVE Azam Sports1 HD kuanzia saa 1:00 usiku.

Tazama uchambuzi kuelekea michezo ya ufunguzi wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 CECAFA U20 ambapo Tanzania atafungua dhidi ya Djibouti huku michezo ya VPL ikitarajiwa kupigwa leo Yanga kushuka dimbani dhidi ya Namungo.

► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: