img

Goli la Hassan Mwaterema | Kagera Sugar 1-0 Mwadui FC – VPL 22/11/2020

November 22, 2020

Kagera Sugar imeitandika Mwadui Fc bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Goli pekee la Kagera limefungwa na Hassan Mwaterema dakika ya 63.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: