img

CHEKECHE: Kutimuliwa kazi waziri; kuhusishwa kwa bosi wa WHO; Nini kinaendelea Tigray? – 21/11/2020

November 21, 2020

Mgogoro wa kisiasa nchini Ethiopia unazidi kuchukua sura mpya huku mkurugenzi wa shirika la afya duniani, WHO, Dkt. Tedros Gherbreyesus na kutimuliwa kazi kwa waziri wa mambo ya nje wa Somalia kwa madai ya kuingilia masuala ya ndani ya Ethiopia.

Je, hali hii inatazamwa vipi na wachambuzi wa siasa?

Raymond Nyamwihula yuko na Godwin Gonde na Francis Daudi kutazama hayo kwa kina ndani ya CHEKECHE.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: