img

Abrahaman Mussa wa Ruvu Shooting amjibu Morrison kwa ‘kuupanda mpira’

November 20, 2020

RUVU SHOOTING 3-0 MBEYA CITY: Dakika moja ya mwisho ikawa ni ya burudani kutoka kwa ‘Barcelona ya Bongo’, Ruvu Shooting, huku Abrahaman Mussa akionesha kuwa naye ana uwezo wa kuupanda mpira kama yule mwingine aliyefanya tukio kama hilo msimu uliopita akiwa na jezi namba 33. Tazama mambo hayo……

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: