img

Sakata la bei ya saruji lavaliwa njuga

November 19, 2020

Sakata la kupanda bei ya saruji limeendelea kuwa gumzo hapa nchini huku wakuu wa mikoa wakilivalia njuga baada ya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa kuwaagiza kumpa ripoti kamili ifikapo Novemba 20 juu ya sababu ya kupanda kwa bei na kuadimika kwa bidhaa hiyo.
#AzamTVUpdates #AzamTVBurudaniKwaWote #AzamTV #MzigoUmefika?

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: