img

MORNING TRUMPET: Siku ya kimataifa ya choo: Una choo nyumbani kwako?

November 19, 2020

Kila ifikapo tarehe 19 Novemba dunia huwa inaadhimisha siku ya choo ikiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya vyoo bora kwa mustakabali wa afya za viumbe mbalimbali ikiwemo binadamu na wanyama.

Katika Morning Trumpet hii leo, George Mbara akiwa jijini Dodoma analitazama hilo kwa kina sambamba na Kakuru msimu ambaye anatazamia siku ya wanaume duniani.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: