img

MO DEWJI AENDELEZA CHECHE ZA SIMBA SC | AZUNGUMZA NA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA

November 19, 2020

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) amezungumza na wabunge ambao ni mashabiki wa Simba SC ikiwa ni katika hafla fupi iliyoandaliwa na tawi la Simba Mjengoni Dodoma na kuwakutanisha wabunge hao wakiongozwa na Spika wa Bunge Job Ndugai.

#SimbaSC #Simba #SimbaSCTanzania #MoDewji #Tanzania #Bunge #Bungeni

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: