img

Michezo ya SHIMUTA yapamba moto Tanga

November 19, 2020

Mashindano ya taasisi za umma na mashirika  binafsi SHIMUTA yanaendelea kurindima huko mkoani Tanga kwa kujumuisha timu 28 kutoka mashirika  mbali mbali nchini.

Jumla ya viwanja vinne   ndio vinavyotumika katika mashindano hayo ikiwemo Galanosi,Popatlal ,Harbours na Tanga school.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: