img

UCHAMBUZI WA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI: Je, eneo la uchumi litaguswa kwa namna gani?

November 16, 2020

Moja ya taasisi zinazojishughulisha na utafiti wa mausala mbalimbali ya maendeleo ni taasisi ya REPOA ambayo hii leo tumeungana na mwakilishi wake Dkt. Lucas Katera pamoja na mchambuzi mwingine wa uchumi Innocent Ndodyabike wakitazama kwa kina namna eneo la uchumi litakavyokuwa kwenye miaka mitano ya serikali ya awamu ya 5 muhula wa pili.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: