img

Hivi ndivyo Kassim Majaliwa alivyokula kiapo cha kuwa Waziri Mkuu

November 16, 2020

Rais John Magufuli amemuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu kwa muhula wa pili wa awamu ya tano baada ya kuthibitishwa na Bunge wiki iliyopita.

#KassimMajaliwa #WaziriMkuu #AzamNews #AzamTVUpdates #UFMHabari #RaisMagufuli

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: