img

Highlights | Simba 0-0 African Sports – Mechi ya Kirafiki 16/11/2020

November 16, 2020

Mabingwa wa nchi, Simba SC leo wamekamatwa shati wakilazimishwa suluhu na African Sports kutoka Tanga inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza. Ni mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: