img

AMMY NINJE AINUNUA MBAO FC. Aliyekuwa Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Ammy Ninje baada ya kuinunua Mbao FC amesema wachezaji wa tim…

November 15, 2020

AMMY NINJE AINUNUA MBAO FC.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Ammy Ninje baada ya kuinunua Mbao FC amesema wachezaji wa timu hiyo watakuwa wakipata nafasi ya kucheza soka la kulipwa barani ulaya, huku yeye mwenyewe akiwa kocha wa timu hiyo.-https://bit.ly/35y0DtP


,,Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: