img

Highlights | Sudan U20 vs Tanzania U20 (2-1) – Friendly 11/11/2020

November 14, 2020

Timu ya Taifa ya Vijana ya Sudan U20, imefanikiwa kuwafunga vijana wenzao wa Tanzania U20 kwa jumla ya mabao 2-1, kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Uhuru. Magoli ya Sudan yamefungwa na Mustafa Hassan na Nagigouma Alamin huku bao la Tanzania likifungwa na Tepsi Evans.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: