img

CHEKECHE: Mgogoro wa kisiasa wa Ethiopia na hatma ya jimbo la Tigray – 14/11/2020

November 14, 2020

Tangu waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed atangaze hali ya hatari ya jimbo la Tigray kufuatia kufanyika kwa uchaguzi jimboni humo mgogoro umeongezeka huku mauaji yakianza kujitokeza.

Je, nini itakuwa hatma ya usalama wa raia wa nchi hii na mustakabali wa maendeleo ya taifa hilo?

Raymond Nyamwihula na mchambuzi wa siasa za kimataifa Ibrahim Rahbi wanajadili hilo kwa kina kwenye CHEKECHE.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: