img

Wafanyakazi wa Azam Media wamwaga baraka zao kwa Taifa Stars na Mwakinyo

November 13, 2020

“Ni zamu yetu…. Twenzetu tena” – Hizi ni salamu kutoka kwa wafanyakazi wa #AzamMedia kuelekea matukio makubwa mawili ya leo ambayo ni #UsikuWaVitasa, #HassanMwakinyo akiliwakilisha taifa LIVE #AzamSports1HD, pamoja na Taifa Stars ambayo iko nchini Tunisia kusaka tiketi ya kufuzu AFCON LIVE #ZBC2

Nawe ungana nasi kuitakia kila la kheri Taifa Stars pamoja na bondia Hassan Mwakinyo.

#NiZamuYetu #TwenzetuTena #TaifaStars #Stars #Tanzania #KubwaZijazo #AFCONQ #KufuzuAfcon #AFCONQualifier

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: