img

WEDNESDAY NIGHT LIVE: Hassan Mwakinyo na Rais wa WBF ‘live’ kutoka Next Door Arena – 11/11/2020

November 11, 2020

Kuelekea pambano kubwa la ngumi kati ya bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Jose Carlos Pas, leo kipindi cha #WednesdayNightLive kinaruka mbashara kutoka eneo ambapo pambano hilo litapigwa, #NextDoorArena.

Patrick Nyembera yuko na Kelvin Twisa kutoka kwenye kampuni inayoandaa pambano hilo, bondia mwenyewe, Hassan Mwakinyo , Rais wa WBF, Howard Goldberg na baadhi ya mabondia kutoka nje ya Tanzania.

Tazama #AzamSports1HD muda huu.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: