img

Wadau Tanga watoa neno kuelekea pambano la Mwakinyo vs Carlos Pas

November 11, 2020

“Tuna imani naye…. Ataendelea kutoa dozi…… Muargentina hachomoki” – Mashabiki wa ndondi jijini Tanga watoa neno kwa Hassan Mwakinyo kuelekea pambano lake dhidi ya Jose Carlos Pas kutoka Argentina.

Pambano hili litapigwa Novemba 13, 2020 LIVE #AzamSports2HD

#UsikuWaVitasa #HassanMwakinyo #Mwakinyo #JoseCarlosPas

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: