img

Kocha wa Taifa stars abeba matumaini ya Watanzania

November 10, 2020

“Ninafikiri Ndayiragije amekichagua kikosi ambacho kitampa matumaini yeye na matumaini kwa watanzania…” – Mchambuzi wa soka na mchezaji wa zamani wa timu ya Mecco na Coastal Union Charles Makwaza akiwaomba watanzania kuungana pamoja kuisapoti timu ya taifa kuelekea mchezo wake dhidi ya Tunisia utakaochezwa Ijumaa ya November 13.
#TaifaStars #Stars #Tanzania #MakubwaYajayo #NiZamuYetu #TwenzetuTena

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: