img

DAKIKA 90 (09/11/2020): Kilichosababisha sare kwenye mechi ya Yanga vs Simba – Uchambuzi

November 10, 2020

Ni Dakika 90 maalum za #WataniWaJadi #YangaVsSimba ambao walikutana Novemba 7, 2020 Yna kutoka sare ya bao 1-1 na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Ungana na wachambuzi Salama Ngale, Thobias Sebastian na Charles Abel wakiwa na Hassan Ahmed kujua ilikuwaje matokeo ya aina ile yakapatikana.

Pia limejadiliwa pambano kubwa la masumbwi litakalofanyika Novemba 13, 2020 kati ya Bondia Hassan Mwakinyo dhidi ya Jose Carlos Pas kutoka Argentina.

#Dakika90 ni kila Jumatatu saa 3:30 usiku, Azam Sports 2 HD

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: