img

Rais wa WBF kusimamia pambano la Mwakinyo na Pas

November 9, 2020

Rais wa Shirikisho la ngumi duniani (WBF) Howard Goldberg anatarajiwa kusimamia pambano la masumbwi la uzito wa juu kati ya Mtanzania Hassan Mwakinyo na Jose Carlos Pas, kutoka Argentina.

Pambano hili litapiganwa katika ukumbi wa Next Door Masaki jijini Dar es Salaam na litakuwa mubashara kupitia #AzamSportsHD Ijumaa ya Novemba 13 kuanzia saa 12 jioni.

#vitasanight
#Mwakinyo #JoseCarlosPas
#AzamTVBoxing #AzamTV

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: