Kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika mji wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mtu mmoja ameripotiwa kufariki dunia huku baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakiomba msaada wa haraka kutokana nyumba zao kuingiliwa na maji.
#AthariZaMvuaMtwara, #MvuaYauaMtwara #MafurikoMtwara
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,Read More
Article Categories:
Azamtvutube