img

MIZANI YA WIKI: BUNGE LA 12 NA MATARAJIO YA WAPIGA KURA KWA MUHULA WA PILI WA SERIKALI YA AWAMU YA 5

November 10, 2020

Wakati Bunge la Tanzania likitarajiwa kufunguliwa na kuanza kazi Jumanne ya tarehe 10 Novemba tayari wananchi wamekuwa na matarajio ya wawakilishi hao waliopigiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.
Je, ni ajenda gani tutarajie kuziona zikijadiliwa na yapi ni matarajio ya asasi mbalimbali zisizo za kiserikali?
Ungana na Faraja Sendegeya na wageni wake katika MIZANI YA WIKI wakiangalizia yote hayo kwa kina.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: