Mambo yameanza kupamba kuelekea #VitasaNight kwenye pambano la WBF kati ya Mtanzania Hassan Mwakinyo ngumi jiwe, ngumi nondo dhidi ya Jose Carlos Paze kutoka Argentina litakalopigwa Next Door Arena, Oysterbay na kuruka LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku.
#HassanMwakinyo #Mwakinyo #MwakinyoVsPaze #UsikuWaVitasa #Vitasa2020 #VitasaNight,, Read More
Article Categories:
Azamtvutube