img

Ukiitafuta knockout utapigwa wewe: Ushauri kwa Mwakinyo

November 9, 2020

Knockout siku zote haitafutwi…ukiitafuta knockout utapigwa wewe…kinachotakiwa ni kucheza ngumi tu…” Ushauri wa mabondia wa zamani kuelekea pambano la kukata na shoka kati ya Hassan Mwakinyo na Jose Carlos Pas, kutoka Argentina.

Pambano hili litapiganwa katika ukumbi wa Next Door Masaki jijini Dar es Salaam na litakuwa mubashara kupitia #AzamSportsHD Ijumaa ya Novemba 13 kuanzia saa 12 jioni.

#vitasanight #NiZamuYetu #TwenzetuTena
#Mwakinyo #JoseCarlosPas

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: