img

UCHAMBUZI: Mapokeo ya ushindi wa Joe Biden na msimamo wa Donald Trump kuhusu uchaguzi mkuu Marekani

November 9, 2020

Goodluck Paul amezungumza na Hamza Mwamoyo ambaye ni Mkuu wa idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) kuhusu mapokezi ya ushindi wa Joe Biden ambaye ni Rais Mteule wa Marekani lakini pia upande wa Donald Trump aliyeshindwa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili ameendelea kushikilia msimamo wake wa kupinga matokeo akidai kuwa kuna udanganyifu ulioingilia kati uchaguzi huo.

#usa #usaelection #uselections

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: