img

Biden kuanza na vipaumbele vinne | Trump hana habari aendelea kucheza Golf

November 9, 2020

Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anatarajiwa kuandaa kikosi cha watu 12 kinachotajwa kukabiliana na janga la virusi vya corona ambapo hadi sasa watu zaidi ya 230,000 wamefariki dunia. Timu yake ya kampeni inasema kuwa inatarajia kuanza zoezi la la upimaji wa virusi hivyo kwa raia huku wakikisitiza suala la uvaaji barakoa ikiwa ni mpango wao wa mpito.

#Biden #JoeBiden #USElections #DonaldTrump #KamalaHarris

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz,, Read More

Article Categories:
Azamtvutube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: